continue

vt,vi 1 endeleza, fuliza, zidi, sedeka ~ the debate endeleza mjadala. 2 anza upya/baada ya/tena. 3 dumu, kaa, shinda ~ in (at) a place (office etc.) endelea kukaa. continued adj. continual adj -a moja kwa moja, -a mfulizo; -a siku zote, -a kila siku, -a daima, -a kuendelea n continually adv. continuance n 1 kudumu, kuendelea of long continuance -a kudumu, -a muda mrefu. 2 ufulizaji, wakati ambapo jambo linaendelea. 3 (leg) kuahirisha continuance of drought kuendelea kwa ukame. continuation n 1 mfulizo. 2 mwandamano, mwendelezo. continuity n 1 mwendelezo, mfululizo, mfulizo. 2 maneno ya kuendelea/kuunganisha sehemu za kipindi. 3 uendelezaji; hali ya kuendeleza. continuous adj -a moja kwa moja, -a siku zote; isosita continuous furnace tanuu isiyozimika (math) continuous function husisho endelevu; continuous numbers nambari endelevu. continuously adv. continuum n mwendeleo (phys. math) endelezo.