contingency

n 1 tukio la nasibu/bila kutarajiwa in such a ~ we cannot agree mambo yakitokea hivi hatuwezi kukubali. 2 (pl) contingencies matumizi yanayotokea/ya dharura; matumizi mengine be prepared for all contingencies -wa tayari kwa lolote litakalotokea. contingent adj 1 -sio hakika, -a bahati, -a kuwezekana (lakini hakuna hakika kwamba itatokea). 2 contingent upon yamkini; -a kutegemea jambo jingine. n (mil) kikosi cha ziada/saidizi.