continent

continent

1 adj -a kujizuia, -enye kutawala tamaa (hasa ashiki). continence n kujizuia/kutawala tamaa (hasa ashiki).

continent

2 n bara, kontinenti. continental adj -a bara, -a kontinenti. n 1 mkazi wa bara la Ulaya. continental breakfast kifungua kinywa cha chai/kahawa na mkate tu.