contemporary

adj 1 -a wakati ule ule. 2 -a kisasa, -a siku hizi n 1 mtu wa hirimu au rika lilelile (la mwingine). 3 (persons, newspaper etc) wakati ule ule we were contemporaries at school tulisoma wakati uleule mmoja chuoni (pl) our contemporaries wenzetu wa kisasa/siku hizi. contemporaneous adj ~ (with) -a kutokea/kuanza/ kuishi wakati mmoja.