contemplate

vt,vi 1 tazama sana (kwa macho au kwa kufikiri) it is ~d inafikiriwa. 2 tafakari; zingatia. 3 (intend) kusudia, azimu, nuia. 4 (look forward) tazamia. 5 taamali, dhukuru. contemplation n. comtemplative adj 1 -enye kufikiri sana; -a kutafakari. 2 (rel) -a kisufii n sufii; usufii.