adj (of people or disease) -a kuambukiza. ~ diseasen ugonjwa wa kuambukiza; (fig) -a kuenea upesi kwa kuigana; -a kuathiri. contagiumn kiambukizi (k.m. virusi). contagionn 1 uambukizaji (kwa kugusana, kukaribiana). 2 ugonjwa wa kuambukiza; (fig) uenezaji wa mawazo potofu/mashauri maovu/ umbeya/uvumi.