contact

n 1 mgusano, mawasiliano, mpambano come into ~ kutana, wasiliana; gongana, pambana. be in ~ with gusana be in ~ with somebody wasiliana na mtu, gusana na mtu, kabiliana na mtu. ~ lens n lenzi (ya plastiki) inayoambatanishwa na mboni (kuonea vizuri). 2 (med) mtu aliyekutana na/kuwa na mgonjwa mwenye maradhi ya kuambukiza ~ infection uambukizaji kwa kugusana ~ poison sumu mgusano. 3 (elect) kiungo cha umeme; (device) kipitishio make ~ unganisha waya za umeme (ili nguvu ya umeme iweze kupita) break ~ kata umeme. 4 (pl) contacts n mwunganisho; (of people) uhusiano miongoni mwa watu ~s man mpatanishi (wa kesi ya kampuni na serikali); mtu wa kati, msuluhishi. contacts n wahusika, washirika. business ~s n watu unaohusiana nao kibiashara. vt,vi kutana, gusana, wasiliana, ungana.