consult

vt,vi 1 taka shauri. 2 tafuta maoni (katika kitabu n.k.). 3 shauri, elekeza, fanya shauri. ~ in toa shauri. ~ with shauriana. consultant n mshauri, mwelekezi; bingwa. consultation n 1 ushauri, uelekezi, mashauriano. 2 mkutano wa kushauriana. 3 kitendo cha kushauriana. consultative adj.