construct

vt 1 jenga. 2 fanya, fanyiza; unda. 3 buni. construction n 1 ujenzi, uundaji. 2 jengo, nyumba (chochote kilichojengwa au kuundwa). 3 mjengo. 4 (gram) muundo wa maneno au sentensi. 5 tafsiri, maana his statement does not bear such a ~ion maelezo yake hayana maana hiyo. constructive adj -a kutoa maoni yanayosaidia; jenzi.