constitute

vt 1 (establish) anzisha (shirika), toa madaraka kwa (kamati n.k.). 2 (form, compose) fanya, fanyiza; -wa na; -wa na. 3 (appoint) teua, weka madarakani. constitution n 1 katiba ya nchi, chama n.k. 2 (of a person) gimba, tambo, zihi. 3 (of a thing) umbile; (act/ manner) the constitution of the solar mjengo wa mfumo wa jua. constitutional adj 1 -a kikatiba constitutional law sheria ya katiba. 2 (lawful) halali, -a kutii sheria. 3 -a asili, -a umbile, -a afya n (dated colloq) matembezi mafupi kwa ajili ya afya take a constitutional walk tembea, nyosha miguu, (kwa ajili ya afya). constitutionalism n imani kwamba serikali sharti ifuate misingi ya katiba. ist n. ~ly adv kwa mujibu wa katiba. constitutionalize vt fanya -a katiba. constitutive adj 1 jenzi. 2 (original) -a asili. 3 -a katiba -a sehemu ya kitu.