constituent

adj 1 -a sehemu ya kitu kizima. 2 (of assembly) -enye haki na uwezo wa kufanya au kubadilisha katiba. n 1 mpiga kura. 2 sehemu ya kitu kizima. 3 (gram) ~ part n kiamba jengo. constituency n jimbo la uchaguzi.