constant

adj 1 -a siku zote, -a daima, -a kawaida. 2 (firm) thabiti, imara n (maths) kisobadilika. ~ rate n kima kisichobadilika. constantly adv. constancy n 1 uthabiti. 2 uaminifu.