constable

n (GB) 1 konstebo; polisi (wa daraja la chini). special ~ n raia afanyaye kazi ya polisi wakati maalumu. 2 (hist) ofisa mkuu wa kifalme. constabulary n jeshi la polisi.