conspicuous

adj 1 -enye kuonekana waziwazi, -enye kuvutia. be ~ onekana wazi make oneself ~ jionyesha. ~ consumption n matumizi ya ufahari/kujichana. conspicuously adv. ness n.