consort

consort

1 n 1 mume au mke (hasa) wa mtawala the queen ~ mke wa mfalme the prince ~ mume wa malkia. 2 meli inayofuatana na nyingine (hasa kwa ajili ya ulinzi wakati wa vita).

consort

2 vi ~ with 1 andamana na, fuatana na. 2 patana, afikiana. consortium n ubia (wa mashirika, mabenki n.k.).