1vt fariji, tuliza, liwaza, poza moyo ~somebody for a loss tuliza mtu kwa hasara aliyoipata. consolableadj -enye kuweza kufarijika. consolationn faraja, maliwazo, kitulizo; (of person) mfariji. (sports) consolation prizen zawadi ya kufariji/ kufuta jasho. consolatoryadj -enye faraja, -a kufariji.
console
2n 1 kiweko. ~ mirrorn kioo chenye kiweko. ~ tablen meza yenye kiweko. 2 chumba cha vifaa vya elektroniki. 3 redio au TV ya kabati.