consider

vt 1 (deliberate on) fikiria, dhukuru, angalia. one's ~ed opinion wazo la mtu baada ya kufikiria sana. 2 (take into account) zingatia, kumbuka, pima. all things ~ed baada ya kufikiria yote. 3 wazia, dhania, fikiria, ona. considerable adj kubwa, -ingi. considerably adv mno, sana. considerate adj (important) -a kustahili kufikiriwa; -enye kufikiria wengine; -enye huruma; -enye busara it was ~ate of him alifanya busara. considerately adv. considerateness n. consideration n 1 (deliberation) fikira, shari, nadhari. take into ~ation angalia. under ~ation inayofikiriwa. give something careful ~ ation fikiria kwa makini. leave out of ~ation sahau, shindwa kufikiria. 2 (kindness) huruma, wema. 3 (motive, reason) sababu, kisa, jambo, hoja these are the ~ations which influenced him in making his plans haya ndiyo mambo ambayo yalimwathiri sana katika kufanya mipango yake. on no consign ~ation (isiwe) kwa vyovyote vile, hapana kabisa. 4 (rare use) umuhimu. 5 (compensation, reward) tuzo, malipo. considering prep -kwa kuzingatia, -kwa kulinganisha he scored highly ~ing his long illness amefaulu sana ukilinganisha na kipindi kirefu alichokuwa mgonjwa.