vt linda, tunza, hifadhi, weka vizuri. n (usu pl) conservesn matunda ya kopo; jamu. conservationn 1 hifadhi; (of game, forest) hifadhi ya wanyama/misitu; (mech) conservation/of momentum hifadhi ya nguvu mwendo. conservancyn 1 tume ya hifadhi ya mali asili. 2 hifadhi rasmi ya mali asili. conservatismn ushikiliaji (wa) ukale/mfumo uliopo; kutopenda mabadiliko. conservatorn 1 mhifadhi. 2 mwangalizi (wa makumbusho n.k.). conservativeadj 1 -enye kushikilia ukale; -siyependa kubadili mambo The Conservative Party Chama cha Conservative. 2 -a kulinda, -a kutunza. 3 -enye hadhari, -a kiasi. n mtu asiyependa mabadiliko.