consensus

n muafaka, makubaliano (juu ya shauri). consensual adj 1 -enye muafaka, -a kuridhiana, -a kukubaliana, pamoja. 2 (phys) -a kisilika (kwa mwendo).