consecutive

adj 1 mfulizo, -a kufuatana/kufuata, moja baada ya moja three ~ days siku tatu mfulizo. 2 (gram) (of a sentence) -enye matokeo yaliyofuatana. consecutively adv. consecution n mfululizo, mfuatano wa matukio.