consecrate

vt ~ (to) 1 weka wakfu. 2 toa (tenga) kwa ajili ya dini, Mungu au kusudi fulani. 3 tukuza, fanya takatifu. 4 (inaugurate) zindua consecrated adj -liofanywa takatifu, wakfu. consecration n 1 ufanyaji wakfu, kuweka wakfu. 2 consecration in Mass mageuzo. consecrator n mweka wakfu. consecratory adj. -a kutunzwa, -enye kuwekwa wakfu.