connect
vt, vi 1 unganisha; unganika the two towns are ~ ed by a railway miji miwili hii imeunganishwa na reli. 2 (associate) husu; husisha the subjects are ~ed mambo haya yanahusiana, yanafungamana. ~ with husiana na. well ~ed husiana na watu maarufu. connecter n. connectedly adv. ~ion. connexion n 1 uhusiano/mwunganisho; (coherence) uwiano these affairs have no ~ion with each other mambo haya hayawiani, hayahusiani. 2 kuunganisha kiungo. 3 (relation) ndugu; jamaa, ahali. 4 kuunganisha safari kwa kubadili vyombo vya usafiri. 5 (context) muktadha, mintaarafu ya. in ~ion with this kwa mintarafu ya. 6 (rel) madhehebu. 7 (in business) mbinu, washiriki katika biashara. 8 (collection) wateja. connective adj 1 -a kuunganishia. 2 (gram) kiunganisho. 3 kiangama cha ushirikisho.