adj, n -a kuunga, -liounganika; muungano. conjunctlyadv. conjunctionn 1 mwungano. in ~ionwith pamoja na, kwa kuungana na. 2 (gram) kiungo (k.m. na, ya, wa). 3 mwingiliano, mchanganyiko. conjunctionof circumstances mwingiliano wa mambo. conjunctiveadj 1 -a kuunganisha, -a kiunganishi. n kiunganisho. conjunctivelyadv. conjuncturen mwungano wa matukio that ~ure of flood and drought resulted in famine mwungano wa mafuriko na ukame ulisababisha njaa.