confuse

vt 1 ~ (with) changanya, tinga, tanza. 2 (perplex) hangaisha, tia wasiwasi, tatiza, tatanisha. 3 (fail to distinguish) kanganya don't ~ me with Joseph usifikiri mimi ni Joseph. confusedly adv. confusion n 1 mchafuko, kakara, shaghalabaghala. 2 rabsha, ghasia. 3 kiwewe.