conform

vt,vi 1 ~ (to) fuata, kubali (sheria, kanuni, viwango vilivyokubaliwa), tii, patana na. ~ oneself kubali kupatana na. 2 ~ (to) fanya sawa na. conformable adj tiifu, kubalifu, -a kukubaliana na. conformity (also conformance) n usawa, ulinganifu, ukubalifu, tendo au tabia inayokubaliana na. in ~ity with kwa kupatana na, kwa kufuata. conformist n mfuata kanuni/desturi n.k.