conflict

n 1 mapigano; vita; mapambano; ugomvi. 2 (of opinions, desires etc) mgongano. ~ of law n mgongano wa sheria. be in ~ with pingana na, -tokubaliana na. a wordy ~ ushindani wa maneno, ubishi mkali, mzozano, mgogoro. vi (~ with) pingana au -tokubaliana na. conflicting adj.