confirm

vt 1 (strengthen) thibitisha, imarisha (nguvu, maoni, haki n.k.); tia nguvu, tegemeza. 2 (ratify) idhinisha, sahihisha, yakinisha. 3 (rel) tolea kipaimara, tia (bandika) mikono baada ya ubatizo. confirmed adj imara; kabisa, -a siku nyingi. confirmation n 1 uthibitisho; shahada, ushahidi, hakika. 2 (rel) kipaimara.