confine

vt 1 wekea mipaka ~ your remarks to the subject usitoke/ usizungumze nje ya mada. 2 fungia, zuia she is ~d to her room amezuiliwa chumbani mwake. 3 be ~d (passive only) (old use) jifungua, zaa; -wa kitandani tayari kwa kujifungua. confined adj. confinement n 1 kifungo. 2 uzazi, kuzaa, kujifungua. confines n 1 mipaka beyond the ~s of human knowledge nje ya mipaka ya ujuzi wa binadamu.