confess

vt,vi 1 kiri, kubali kosa he ~ed that he stole the money alikiri kuwa aliiba zile fedha. 2 tubu, ungama. confessedly adv. confession n 1 kukiri, kukubali. 2 ungamo. 3 (creed) tangazo la imani, ushuhuda. 4 (rel) maungamo adj -a maungamo, -a imani. confessional adj, n (rel) kizimba cha maungamo. confessor n (rel) 1 mwungamishi (padri mwenye mamlaka ya kusikiliza maungamo). 2 muungamaji. 3 shahidi (mtu anayejitolea kuteswa au kufa kwa ajili ya dini yake).