confederacy

n 1 shirikisho; mwuungano (wa majimbo, nchi, vyama au watu). 2 njama. be in ~ kula njama (na). confederate adj -lioungana pamoja kwa mapatano au mkataba. n 1 mwenzi. 2 mshirika, msaidizi katika uovu. vt,vi 1 ungana kwa mapatano. 2 fanya njama. confederation n.