confection

n 1 tamutamu. 2 vazi (agh. kwa wanawake). 3 mchanganyo; (of clothes) tayari kwa kuuza. confectioner n mtengezaji/mwuzaji vitamutamu. confectionery n vitamutamu, kiwanda/duka la vitamutamu.