conductor

n 1 (guide) mwongozaji, kiongozi. 2 (US) msimamizi; mwangalizi wa abiria, kondakta anayekusanya nauli. 3 (phys) kipitishi (cha joto au umeme) ~ rail reli inayopitisha umeme. conductress n kondakta wa kike.