conduct

2 vt 1 (lead) ongoza, peleka, chukua ~ed tour ziara iliyoongozwa. 2 (manage) endesha. 3 (phys) pitisha/ruhusu iron ~s heat chuma hupitisha joto. 4 ~ oneself (behave) tenda. 5 (mus) ongoza, imbisha. 6 fanya kazi ya kondakta. ~ oneself towards somebody jiweka kwa jambo la mtu fulani. conduction n upitishaji (k.m. umeme katika waya). ~ion of heat upitishaji wa joto. conduction system n mfumo wa upitishaji joto, umeme, maji. conductive adj -enye uwezo wa kupitisha. conductivity n.