condition

n 1 sharti on no ~ bila ya sharti/mapatano on ~ that ikiwa/endapo kwamba contrary to the ~ we agreed upon kwa kinyume cha mapatano yetu. 2 (state) hali, tabia; (pl) conditions hali ya mambo muhimu kwa uhai. under existing ~s katika hali ya mambo ilivyo. 3 (health) afya, siha, rai, zima out of ~ katika hali mbaya, -lioharibika the ~ of my health hali ya afya yangu be in no ~ to do something -toweza kufanya (jambo). 4 nafasi (ya kitabaka) katika jamii people of all ~s attended watu wa matabaka yote walihudhuria. vt shurutisha, lazimisha be ~ed tawaliwa my expenditure is ~ed by my income matumizi yangu yanatawaliwa na mapato yangu. conditioned adj 1 -enye masharti ~ed reflex tendo la kujiendea ~ed reaction mlipizo zoevu. 2 -enye hali fulani nzuri/mbaya n.k.. conditioned adj. conditional adj 1 sharti, -enye masharti, kutegemeana na. ~al sale n uuzaji kwa masharti. 2 (gram) ~al sentence n sentensi sharti.