condense

vt,vi 1 fanya zito; fanya umande/wingu; punguka na kuwa zito zaidi. 2 (of steam) tonesha: geuza mvuke uwe maji. 3 (shorten) fupisha, fanya muhtasari a ~ed account of an event muhtasari wa habari. n 1 kijazi, kondensa: chombo cha kukusanyia au kugeuzia nguvu ya umeme. 2 kitoneshi: chombo cha kugeuza hewa kuwa majimaji. condensation n 1 mtonesho. 2 ufupisho.