condemn

vt 1 laumu, shutumu; laani we ~ed his bad behaviour tulilaani tabia yake mbaya. 2 (to convict) hukumu, tia hatiani. 3 weka, tuma, agiza fulani kuishi katika hali ya taabu au maumivu. condemnation n shutuma; laana; lawama. 4 (reject) kataza, tupa ~ed house nyumba iliyopigwa marufuku kukaliwa na mtu (kwa sababu ya ubovu). 5 (arch) twalia, taifisha k.v. mali ya magendo.