adj 1 -a kushikika, -a kuonekana (wala si -a kuwazika tu); thabiti ~ example mfano thabiti ~ noun nomino mguso. 2 -a saruji. ~ blockn tofali la saruji. ~ mixern kichanganya zege reinforced~ zege imara. vt,vi tia saruji, paka saruji; ganda (kama saruji).