concourse

n 1 mkusanyiko, kundi, umati. 2 makutano: sehemu ya wazi ambapo barabara na njia hukutana. 3 (place) uwanja wa mikutano, riadha n.k.; ukumbi wa stesheni ya gari moshi.