concord

n 1 mapatano, maelewano, upatanishi, itifaki. 2 mpangilio wa kialfabeti (wa maneno muhimu ya kitabu k.m. biblia). 3 mkataba na. concordance n upatano. concordant adj (with) -enye kupatana. n mapatano (kati ya dini na dola kuhusu dhima ya dini katika jamii).