conciliate

vt 1 patanisha (hasa mtu asiye rafiki), suluhisha. 2 tuliza (hasira ya fulani). 3 ungwa mkono. conciliation n usuluhishi, upatanisho court of conciliation baraza la usuluhishi. conciliatory adj.