n 1 (mus) burudani/ maonyesho ya muziki. 2 umoja wa shauri acting in ~ tenda kwa pamoja. in ~ with pamoja na. vt,vi fanya shauri pamoja, tengeneza kwa mapatano. concertedadj 1 -enye kufanywa kwa pamoja. 2 kali.~ed actionn tendo lililofanywa kwa pamoja. concertinan(mus) konsertina: aina ya ala ya muziki mithili ya kinanda cha mivukuto; kodiani.