concentrate

vt,vi 1 kusanya mahali pamoja; leta pamoja, unganisha. 2 (condense) fanya -zito kwa kukausha maji/kushindilia/kugandamiza au kubana; ongeza nguvu ya kitu. 3 kolea ~d solution mmumunyo kolezi. 4 makinikia. ~ upon (on) something makinikia jambo. concentrated adj. kali; -liokolea. concentration n 1 kukoleza; mkusanyo wa mahali pamoja. concentration camp n kambi ya wafungwa wa siasa /wakimbizi/mateka wa vita. 2 ukolezi. 3 umakinifu.