conceive

vt,vi pata/tunga/shika/chukua mimba. 2 ona, waza, dhani, fahamu ~a liking for somebody -mtia moyoni. ~ an idea tunga wazo. conceivable adj -a kuweza kubuniwa/kufikiriwa, -a kuwezekana. conceivably adv yawezekana. conception n 1 utungaji mimba; utungaji dhana. 2 wazo, dhana. concept n wazo, fikra, dhana. conceptualism n (philos) umawazo, udhanifu. (conceptive, also conceptual) adj -a maana, -a akili, -a kuwaza moyoni, -a mawazo. conceptualize v -buni.