con
con
1 adv pro and ~ pande zote (hasi na chanya). the pros and ~s n hoja za pande zote.con
2 vt (naut) shika usukani wa chombo.con
3 vt (forml) chunguza kwa makini; jifunza kwa ghibu sana. ~ over sema kwa akili.con
4 n mfungwa.con
5 vt (colloq) danganya mtu. ~man n tapeli.