vt 1 gandamiza, bana; shinikiza. 2 (of ideas, words, etc) fupisha. compressibleadj -a kushindilika, -a kupunguzika kwa kugandamizwa/ kwa kushindiliwa. n kigandamizo: kipande cha nguo kilichobandikwa katika sehemu ya mwili kuzuia damu kutoka, kutuliza homa, n.k. compressionn 1 mgandamizo, mbano, msongo; shinikizo. 2 ufupisho. compressorn kishinikizi: kitu chochote kinachokaza kwa kushindilia (au kubana, au kugandamiza); kompresa: mashine itumikayo kubana hewa au gesi.