comprehend

vt 1 fahamu, tambua, jua. 2 -wa na, ingiza, jumuisha. comprehensible adj -a kufahamika, -a kueleweka, -a maana, -a kutambulika. comprehension n 1 uwezo wa kufahamu, ufahamu, ujuzi, akili tambuzi it is beyond my comprehension siifahamu, siielewi, nashindwa kuelewa, inanizidi kimo, iko nje ya uwezo wangu wa kutambua. 2 eneo kubwa la maana au matumizi a term of wide comprehension neno lenye maana na matumizi mengi. 3 (of exercise) (zoezi la) ufahamu. comprehensive adj 1 pana the comprehensive faculty uwezo wa kufahamu, akili tambuzi. 2 -enye vitu/ maarifa/ mambo mengi he took a comprehensive view of the subject alichungua alielewa habari zote za jambo hilo a ~ school shule ya sekondari kwa wote (bila vipaji au tabaka). comprehensiveness n. comprehensively adv .