compound

compound

1 vt 1 (mix) changanya pamoja ili kupata kitu kipya na tofauti; unga. 2 (settle) tatua (tatizo), maliza ugomvi/deni. 3 (add to, increase) ongezea (tatizo, kosa, n.k.) adj 1 iliyotengenezwa kwa kuchanganya vitu viwili au zaidi; -lioungwa. 2 (gram) ambatani. ~ noun n nomino ambatani. 3 (make) -enye sehemu nyingi ~ interest riba mchanganyiko. ~ fracture n mvunjiko mkuu. ~ sentence n sentensi ambatani.~ word n neno ambatani. n 1 mchanganyiko/ msombo: kitu kilichochanganywa au kutengenezwa na vitu viwili au zaidi.

compound

2 n 1 eneo maalumu (pengine hujengwa boma) lenye majengo, viwanja n.k. a school ~ n eneo la shule. a factory ~ n eneo la kiwanda. 2 ua, uga, kiwanja cha nyumba. 3 kambi ya wafanyakazi.