comport

vi,vt 1 heshimu, stahi ~ oneself with dignity jiheshimu, jistahi. 2 patana na, faa, chukuana na his conduct does not ~ with his rank tabia yake haichukuani na madaraka yake. comportment n mwenendo mzuri, staha. compos adj (also compos mentis) (colloq) -enye akili timamu, -enye welekevu kamili. non compos mentis n afkani, mwendawazimu, punguwani.