complicate

vt tatiza, tatanisha, fumba;fanya kuwa changamano. complicated adj 1 -enye utata, mashaka, mafumbo, changamano a ~d machine mashine yenye muundo tata ~d business deals mambo changamani. 2 gumu ~d questions maswali magumu. complication n 1 hali ya kuwa tata; ugumu, kitu kiongezacho utata/ ugumu. 2 ugonjwa wa ziada; (med) ugonjwa mpya au unaotokea zaidi ya ule mtu alionao (na kufanya matibabu kuwa magumu) measles with eye and ear complications surua inayoambatana na matatizo ya macho na masikio.