complex

adj 1 -enye sehemu/tabia nyingi, changamani. 2 -gumu kufahamika,-sioelezeka kwa urahisi, (gram) changamano. ~ sentence n sentensi changamano (commerce) ~ interest riba changamano. (Bio) ~sugar n sukari changamano. ~ situation n hali ngumu isiyoelezeka kwa urahisi. (Psy) inferiority ~ n hisia za udhalili. superiority ~ n majikwezo. complexity n.